Watumishi wa mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali wakiwa kwenye MASAI CULTURAL RESERVE mkoani Morogoro
Watumishi wa mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali kanda ya mashariki wakiwasili stesheni ya treni ya Jakaya kikwete mkoani Morogoro
Majaribio ya pili
Majaribio
Test
Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti, Daniel Ndiyo (aliyesimama), akifungua Mafunzo ya Matumizi Salama ya Kemikali kwa wadau wanaojishughulisha na biashara ya kemikali mkoani Kigoma. Mkurugenzi alielezea majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Mafunzo hayo yamefanyika kwenye ukumbi wa Bandari – Kigoma Juni 12, 2024.
Meneja wa Mamlaka Ofisi ya Kanda ya Ziwa, John Wanjala akielezea utekelezaji wa Sheria ya Kemikali pamoja na Sheria zingine kwenye Mafunzo kwa Maafisa wa Serikali juu ya Usimamizi wa Kemikali yaliyofanyika katika ukumbi wa Bandari – Kigoma Juni 11, 2024.
Washiriki wa Mafunzo wakifuatilia mada mbalimbali kwenye mafunzo ya matumizi salama ya kemikali kwa wadau yaliyofanyika Juni 12, 2024.
Maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali zinazofanya kazi katika Bandari za Ziwa Tanganyika, wakifuatilia mada zilizowasilishwa na wataalam kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuhusu usimamizi wa kemikali katika Bandari za Ziwa Tanganyika yaliyofanyika mkoani Kigoma.
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Kigoma, Deogratius Sangu (aliyesimama), akizungumza wakati akifungua Mafunzo kwa Maafisa wa Serikali juu ya Usimamizi wa Kemikali pamoja na wadau wanaojishughulisha na biashara ya kemikali mkoani Kigoma yaliyofanyika katika ukumbi wa Bandari – Kigoma Juni 11, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo na kulia ni Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika, Edward Mabula