Taasisi ya Jiolojia...
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) yawasilisha ripoti ya uchunguzi wa kisayansi juu ya kutoboka kwa ardhi na kudidimia kwa nyumba za makazi mkoani Unguja 14 juni 2023, Za
11 Aug, 2023

Mkurugenzi wa Huduma za Jiolojia GST Dkt. Ronald Massawe aliyesimama akiongea na wadau kutoka serikali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati anawasilisha ripoti ya uchunguzi wa kudidimia kwa ardhi.