Je, viwanda vya usindikaji vya GASCO viko wapi?
Je, viwanda vya usindikaji vya GASCO viko wapi?
GASCO inaendesha mitambo miwili mikuu ya usindikaji:
1. Kiwanda cha Kuchakata Gesi cha Madimba Kinapatikana Madimba Vilage kutoka Mkoani Mtwara. 2. Kiwanda cha Kuchakata Gesi cha Songosongo Kinapatikana katika kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi.