Parking
Imewekwa: 08 January, 2024
GASCO imepewa utaalamu, uzoefu, na maarifa katika ujenzi wa miundombinu ya gesi asilia. GASCO imejenga...KM ya mtandao wa usambazaji kwa wateja wa kaya na taasisi huko Mtwara, ...KM ya wateja wa kaya na taasisi jijini Dar es Salaam, na uunganishaji wa viwanda Mkuranga. Kwa sasa, GASCO imepewa mkataba na TPDC/TANOIL kujenga vituo vya mafuta Singida na Geita.