Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Mshauri Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Mhandisi Yoshihiko Ogata

Posted On: 16 November, 2025
Kuhusu Utafiti wa ukusanyaji takwimu za kujenga mfumo himilivu wa chakula, kwa kuangalia mkusanyiko wa chakula barani Afrika kwa kipindi cha kuanzia Mei 2025 mpaka Februari 2026.