TENDER OPENDING FOR CPP JANUARY 2024 DELIVERIES
30 Nov, 2023
1100 AM
Dar es Salaam, Tanzania
info@pbpa.go.tz
Mwenyekiti wa kamati ya zabuni akifungua sanduku la zabuni zilizowasilishwa na wazubuni walio chaguliwa kushiriki katika zabuni za uagizaji mafuta kwa mwaka 2023. Zoezi hilo lilishuhudiwa na wawakilishi wa wazubuni na wadau mbali mbali katika sekta ya mafuta lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wakala wa Uagizaji mafuta kwa pamoja jijini Dar es Salaam, Tanzania
