Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Petroleum Bulk Procument Agency (PBPA)

WCF Logo
MAHITAJI YA MAFUTA YAONGEZEKA
11 Dec, 2023 09.00AM -12.30AM
OTR
info@pbpa.go.tz

" Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la uhitaji wa mafuta ya petroli nnchini ambapo awali kulikuwa na uhitaji wa tani laki mbili na nusu lakini mpaka kufikia sasa uhitaji umeongezeka hadi kufikia tani laki nne na nusu mpaka sita"

"Hiyo pia ni changamoto kwasababu miundombinu ya kupokelea mafuta ya petroli bado ipo vile vile na uhitaji umeongezeka japo serikali bado imeendelea kufanya jitihada mbalimbaliza kukidhi uhitaji :ERASTO SIMON MLOKOZI,Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Jumla (PBPA)

MAHITAJI YA MAFUTA YAONGEZEKA