PBPA: Ruzuku ya Serikali yapunguza makali ya bei ya Mafuta
12 Dec, 2023

Kaimu Mkurugenzi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja ( Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA) , Erasto Simon, akitoa wasilisho lake kwenye kikao kazi baina ya Wakala na Wahariri wa Habari ,kilichoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina ( OTR) na kufanyika jijini Dar es Salaam,Disemba,2023.