Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Petroleum Bulk Procument Agency (PBPA)

WCF Logo
Ufunguzi wa zabuni ya mafuta kwa Machi 2023
25 Aug, 2023
Ufunguzi wa  zabuni ya mafuta kwa Machi 2023

Mwenyekiti wa kamati ya zabuni akifungua sanduku la zabuni zilizowasilishwa na wazubuni walio chaguliwa kushiriki katika zabuni za uagizaji mafuta kwa mwaka 2023. Zoezi hilo lilishuhudiwa na wawakilishi wa wazubuni na wadau mbali mbali katika sekta ya mafuta lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wakala wa Uagizaji mafuta kwa pamoja jijini Dar es Salaam, Tanzania