Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)

TFRA Logo
Mbolea ya ruzuku yapunguza gharama za uzalishaji zao la kahawa
29 May, 2024
Mbolea ya ruzuku yapunguza gharama za uzalishaji zao la kahawa

Imeelezwa kuwa, mpango wa mbolea ya ruzuku umeleta nafuu kubwa kwenye shughuli za uzalishaji wa kahawa kwa kampuni ya kilimo cha kahawa ya Karatu Coffee Eatate LTD iliyoko Wilaya ya Karatu mkoani Arusha.


Kabla ya serikali kuja na mpango wa mbolea ya ruzuku kampuni ilikuwa ikitumia kiasi cha ahilingi milioni 250 hadi Milioni 300 kwa ajili ya mbolea lakini kwa msimu wa kilimo 2022/2023 kiasi cha shilingi milioni 120 hadi 140 kimetumika na kutoa nafuu kubwa kwenye uzalishaji.

Mbolea Day