Slide show
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent (aliyekaa) akiwa katika picha na Watumishi walioshinda tuzo katika michezo mbalimbali wakati wa kikao cha kujengeana uwezo katika kutoa huduma kwa wateja na afya mahali pa kazi yaliyofanyika hivi karibuni Mjini Bagamoyo.
