Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Shemdoe akiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa majaribio ya ufutiliaji wa kielektroniki wa meli za uvuvi Nchini
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Kamati ya Kitaalam ya Ushauri ya DSFA pamoja na watumishi wa DSFA
Mkurugenzi Mkuu wa Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu Dkt. Emmanuel A. Sweke akipokea cheti cha shukran kutoka kwa Naibu Kamishna wa Skauti Tanzania Bi. Amina A. Clement
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Shaban A. Othman akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara na Maafisa Uvuvi baada ya makabidhiano ya mtambo wa barafu
Mkurugenzi Mkuu wa DSFA Dkt. Sweke akiwa na Mkurugenzi wa USAID Heshimu Bahari Dkt. Igulu wakibadilishana hati za mashirikiano kati ya DSFA na na CHEMONIC INTERNATIONAL INC.