Kikao cha 21 cha Kamati ya Ushauri ya Kitaalam ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu
Kikao cha 21 cha Kamati ya Ushauri ya Kitaalam ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu
Imewekwa: 27 May, 2024
![Kikao cha 21 cha Kamati ya Ushauri ya Kitaalam ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu](http://demo81.eganet.go.tz/dsfa/uploads/news/03e61abee37c5b2d04984969637cd8aa.jpeg)
Kikao cha 21 cha Kamati ya Ushauri ya Kitaalam ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu kikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt. Salum Sudi Hammed ambae pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mazao ya Baharini Zanzibar kilichofanyika tarehe 24/05/2024 Ukumbi wa Nyerere katika Ofisi za Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu iliyopo Fumba Zanzibar.