UTIAJI SAINI WA HATI YA MASHIRIKIANO KATI YA DSFA NA CHEMONIC INTERNATIONAL INC.
UTIAJI SAINI WA HATI YA MASHIRIKIANO KATI YA DSFA NA CHEMONIC INTERNATIONAL INC.
Imewekwa: 14 March, 2024
![UTIAJI SAINI WA HATI YA MASHIRIKIANO KATI YA DSFA NA CHEMONIC INTERNATIONAL INC.](http://demo81.eganet.go.tz/dsfa/uploads/news/c4ef937d32070dc5673c43f8152058cb.jpeg)
Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) imetiliana saini ya hati ya makubaliano na Mradi wa USAID Heshimu Bahari ili kuboresha usimamizi wa uvuvi wa bahari kuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu Dkt. Emmanuel Andrew Sweke amesema lengo la makubaliano hayo ni kuboresha usimamizi wa rasilimali ya bahari kuu ili kupunguza upotevu wa rasilimali hiyo. Makubaliano hayo yametiwa saini na Dkt. Sweke na Mkurugenzi wa Mradi wa USAID Heshimu Bahari Dkt. Mathias Igulu, utiaji saini huu ulifanyiaka katika ofisi za DSFA huko Fumba.