Uongozi wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA) umeipongeza na kutoa shukrani za dhati kwa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA)
Uongozi wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA) umeipongeza na kutoa shukrani za dhati kwa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA)
Imewekwa: 23 April, 2024
![Uongozi wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA) umeipongeza na kutoa shukrani za dhati kwa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA)](http://demo81.eganet.go.tz/dsfa/uploads/news/a9266e21b876311b58bca5f88ad615c8.jpeg)
Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) kwa msaada walioupata kutoka kwa mamlaka hiyo. Shukran hizo zilitolewa na Naibu Kamishna wa Skauti Tanzania Bi. Amina Andrew Clement kwa uongozi wa DSFA, msaada huo uliotolewa ni kufuatilia kuadhimisha sherehe za miaka 60 ya Muungano wa Tanzania sambamba na hayo Naibu Kamishna wa TSA aliamkabidhi cheti cha shukran Mkurugenzi Mkuu wa DSFA Dkt. Emmanuel A. Sweke, hafla hii ilifanyika leo tarehe 22/04/2024 katika ofisi za DSFA huko Fumba Zanzibar.