Mafunzo ya Vihatarishi
Mafunzo ya Vihatarishi
Imewekwa: 28 July, 2023
![Mafunzo ya Vihatarishi](http://demo81.eganet.go.tz/dsfa/uploads/news/2728e1b3bc04e11d312a3d96a73adfa9.jpeg)
Watumishi wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) wamepewa mafunzo maalum ya udhibiti wa vihatarishi (Risk Management), mafunzo hayo yametolewa na Mtaalam wa Risk Management and Control Dkt. Sako Mayrick kutoka Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi wa Ndani wa Serikali, Kitengo cha Risk Mgt and Control