Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Ujumbe kutoka Benki ya Dunia Kutembelea DSFA

Imewekwa: 08 December, 2023
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia Kutembelea DSFA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusismamia Uvuvi wa Bahari Kuu Dkt. Emmmanuel A. Sweke amepokea ujumbe kutoka Benki ya Dunia ambao ulitembelea Ofisini hapo Fumba. Ujumbe huo uliwasili katika ofisi za Mamlaka zilizokuwepo Fumba Zanziabr ukiwa na watu 20 ambao walitembelea miradi iliotekelezwa kikamilifu na Mamlaka ambayo ilifadhiliwa na Benki ya Dunia. Aidha,  akihutubia ujumbe huo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu Dkt. Sweke alisema DSFA imetekeleza miradi iliyofadhiliwa na Benki ya Dunia pia na kushukuru imeisadia Tanzania kwa kupitia DSFA.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo