Mkutano wa Waandishi wa habari na Mkurugenzi Mkuu
Mkutano wa Waandishi wa habari na Mkurugenzi Mkuu
28 July, 2023
Pakua
Kikao cha nane cha Bodi ya Wahariri wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu kilifanyika siku ya tarehe 06/09/2021 katika ukumbi wa Nyerere, Ofisi ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu. Kikao kilifunguliwa na Mwenyekiti wa kikao cha Bodi ya wahariri, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu mnamo saa 04:50 za asubuhi.