Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Nishati

Gas Company (Tanzania) Limited

Je, viwanda vya usindikaji vya GASCO viko wapi?

GASCO inaendesha mitambo miwili mikuu ya usindikaji:


1. Kiwanda cha Kuchakata Gesi cha Madimba

Kinapatikana Madimba Vilage kutoka Mkoani Mtwara.

2. Kiwanda cha Kuchakata Gesi cha Songosongo

Kinapatikana katika kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi.