Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Nishati

Gas Company (Tanzania) Limited

Dira

Kuwa Kampuni bora ya kujenga, kuendesha na matengenezo ya miundombinu ya kuchakata na kusambaza gesi asilia yenye ushindani kitaifa, kikanda na kimataifa.

Dhima

Kuwajengea uwezo wataalamu kwa ajili ya kufanya tafiti za teknolojia mbalimbali za ujenzi, uendeshaji na matengenezo ya miundombinu ya gesi asilia kwa vigezo vya usalama na ubora ili kulinda watu, mali na mazingira.