Kushiriki Bonanza la Utalii na Michezo mkoani Morogoro kwa siku mbili
Kushiriki Bonanza la Utalii na Michezo mkoani Morogoro kwa siku mbili
17 May, 2025 - 18 May, 2025
09:30:00 - 17:30:00
NGUZO CAMP - MOROGORO
Martha Msolla ,
Watumishi wa mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali watakua na bonanza la utalii na michezo mkoani Morogoro kwa siku mbili litakalofanyika tarehe 17 mpaka 18 mwezi wa Mei mwaka 2025