MMS AFUNGUA KIKAO KAZI CHA UTAYARISHAJI WA VIHATARISHI
MMS AFUNGUA KIKAO KAZI CHA UTAYARISHAJI WA VIHATARISHI
28 Dec, 2023 - 31 Dec, 2023
08:30:00 - 16:30:00
BAGAMOYO
OGUNYAA
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama), akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakati akifungua Kikao Kazi cha kutambua na kubaini vihatarishi na fursa zinazotokana na Mpango Mkakati wa Mamlaka. Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ADEM uliopo Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Disemba 14, 2023.
