Mji Mkongwe Mikindani
Mji Mkongwe Mikindani
Imewekwa: 08 Jan, 2024
Hii ni bandari ya kwanza ya kusini ambapo ilitumika na waarabu, wajerumani na waingereza , bandari hii ndio ilikuwa chachu ya maendeleo ya Mji wa Mikindani. Bidhaa mbalimbali kama vile malighafi tofauti zilisafirishwa kupitia hapa, watumwa pia walisafirishwa hapa na kuelekea visiwa vya jirani na nje ya bara la Afrika. Hapo awali bandari hii ilikuwa na urefu wa mita mia na sabini (170m), lakini kwa sasa umefanyika urejeshwaji wa mita sitini tu (60m).
Mawasiliano:
Mikindani Historic Town
P.O BOX 1164 Mtwara,
Tanzania
Mobile: +255 754 66112
Email: mikindanisite@nmt.go.tz