Tanzania emblem

Blogu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Taarifa Mpya

NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI AFUNGUA MAFUNZO YA UADILIFU

NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI AFUNGUA MAFUNZO YA UADILIFU

22nd Nov 2024

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo amefungua mafunzo kwa Kamati ya Uadilifu na kwa Menejimenti Maalum ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 20 Novemba, 2024 hadi tarehe 23 Novemba, 2024.

Soma zaidi

WADAU TOENI MAONI YA KANUNI ZA UREJESHAJI GHARAMA ZA UENDESHAJI MASHAURI YA SERIKALI

WADAU TOENI MAONI YA KANUNI ZA UREJESHAJI GHARAMA ZA UENDESHAJI MASHAURI YA SERI...

02nd Nov 2024

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi amefungua kikao kazi cha wadau wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) cha kupitia na kutoa maoni kuhusu Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji Mashauri ya Serikali kilichofanyika mkoa wa Pwani.

Soma zaidi

Wananchi Watakiwa Kuendelea na Zoezi la Kupata Elimu ya Mpiga Kura ili Washiri Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Wananchi Watakiwa Kuendelea na Zoezi la Kupata Elimu ya Mpiga Kura ili Washiri U...

25th Oct 2024

Wananchi wametakiwa kuendelea kupata elimu kuhusu uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu licha la Mahakama kuruhusu waleta maombi katika shauri linalopinga mamlaka ya Waziri wa TAMISEMI kutunga kanuni za kuratibu, kusimamia nakuendesha uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini kuruhusiwa kufungua shauri la msingi kwa kuwa mchakato mzima wa uchaguzi haujasimamishwa.

Soma zaidi

Menejimenti ya OWMS yatakiwa Kuongeza Ushirikiano katika Kutekeleza Majukumu Yake.

Menejimenti ya OWMS yatakiwa Kuongeza Ushirikiano katika Kutekeleza Majukumu Yak...

25th Oct 2024

Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kutekeleza majukumu yao kwa kushirikiana hatua itakayowasaidia kutekeleza majukumu yao kwa wakati ili kufikia malengo yao waliyojiwekea ndani ya muda ulipangwa.

Soma zaidi

Ofisi ya Wakili MKuu wa Serikali yaokoa Zaidi ya Shilingi Bilioni 602.5

Ofisi ya Wakili MKuu wa Serikali yaokoa Zaidi ya Shilingi Bilioni 602.5

25th Oct 2024

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ikiwa ndio yenye dhamana ya kusimamia, kuratibu na kuendesha mashauri ya Madai na Usuluhishi ndani na nje ya nchi imeokoa jumla ya Sh bilioni 602.52, dola za kimarekani milioni 800.2 na euro milioni mbili ambazo serikali ingetakiwa kulipa kama serikali ingeshindwa katika mashauri mbalimbali yaliyofunguliwa ndani na nje ya nchi.

Soma zaidi