Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Ndio
UCSAF ilianza mwaka 2009
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ulianzishwa chini ya Sheria ya Upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano kwa Wote; Sura 422 ambayo ilikubaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo Januari 2007. Ikiwa na jukumu la Kuhamasisha ushiriki wa sekta binafsi na serikali katika utoaji wa huduma za Mawas...