Mabasi Ya Kawaida
Mabasi Ya Kawaida
Wakala wa DART inatoa pia huduma ya mabasi yaendayo haraka ambayo husimama kila kituo katika kilichopo katika njia kuu. Njia kuu zilizopo katika Mradi wa DART Awamu ya Kwanza ni kutoka Kituo Kikuu cha Kimara hadi Kituo Kikuu cha Kivukoni, pamoja na matawi ya Magomeni hadi Kituo Kikuu cha Morocoo na tawi la kutoka Kituo cha Fire hadi Kituo Kikuu cha Gerezani Kariakoo.
Aidha, vituo ambavyo Mabasi Yaendayo Haraka husikama katika kila kituo cha Mradi wa DART wa Awamu ya Kwanza katika Huduma ya Mabasi ya Kawaida ni Kama inavyoonyeshwa katika jedwali hapo chini;
VITUO VILIVYOPO NJIA KUU YA KIMARA HADI KIVUKONI |
VITUO VIVILVYOPO NJIA KUU TAWI LA MAGOMENI HADI MOROCCO |
VITUO VILIVYOPO NJIA KUU TAWI LA FIRE HADI GEREZANI KARIAKOO |
|
|
|