Ujenzi wa barabara maalaum za zege zenye urefu wa kilometa 33.5 km:
Mwai Kibaki (Moroco – Kawe) – 7.8km
Extension ya BRT1 (Kimara – Kibaha) – 20.7km
Extension ya BRT 2 (Mbagala rangi tatu – Vikindu) – 5.0 km
Inahusisha barabara za Mwai Kibaki, kuongeza kipande cha Morogoro (kutoka Kimara hadi Kibaha) na kuongeza kipande cha Kilwa (kutoka Mbagara rangi tatu hadi Vikindu).
Usanifu wa awali (Concept Design) umekamilika, serikali inatafuta fedha kwa ajili ya usanifu wa Kina na Ujenzi wa miundombinu.