KURATIBU MIFUKO YA UWEZESHAJI
Mpaka sasa kuna mifuko ya Serikali na Programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi 74 ambazo zinaratibiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi. Mifuko na programu hizo zimegawanyika kama ifuatavyo:
MIFUKO INAYOTOA MIKOPO MOJA KWA MOJA KWA WAJASIRIAMALI
(a) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WA SERIKALI
1. Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (Youth Development Fund –YDF);
2. Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (Women Development Fund –WDF);
3. Mfuko wa Taifa wa Kuendeleza Wajasiriamali Wananchi (National Entrepreneurship Development Fund –NEDF);
4. Mfuko wa Taifa wa Pembejeo (Agricultural Inputs Trust Fund –AGITF);
5. Mfuko wa Kutoa Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo (SELF Microfinance Fund);
6. Mfuko wa Kilimo Kwanza (Kilimo Kwanza Fund–KKCF);
7. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Higher Education Students’ Loans – HESLB);
8. Mfuko wa Mzunguko wa Mikoani (SIDO RRF);
9. Mfuko wa Mikopo ya Nyumba kwa Watumishi wa Serikali;
10.Mfuko wa Mikopo kwa Watumishi wa Serikali Kuu (Public Service Advances Fund);
11.Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa;
12.Mfuko wa uwezeshaji wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi;
13.Mfuko wa wafanyabiashara ndogondogo na watoa huduma zisizo rasmi;
14.Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa;
15.Mfuko wa Mikopo Midogo ya Nyumba (Housing Microfinance Fund);
(b) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WATAASISI BINAFSI
1. Mfuko wa Sme Impact Fund;
2. Mfuko wa EFTA LTD;
MIFUKO INAYOTOA DHAMANA ZA MIKOPO KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI NA TAASISI ZA FEDHA
(a) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WA SERIKALI
1. Mfuko wa Kudhamini Mikopo ya Mauzo Nje ya Nchi (Export Credit Guarantee Scheme – ECGS);
2. Mfuko wa Uwezeshaji wa Mwananchi (Mwananchi Empowerment Fund –MEF);
3. Mfuko wa dhamana za mikopo kwa wakulima wadogowadogo (Smallholders’ Credit Guarantee Scheme);
4. Mfuko wa Kusaidia Makandarasi (Contractors Assistance Fund –CAF);
5. Mfuko wa Kudhamini Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati (SME Credit Guarantee Scheme (SME-CGS);
6. Mfuko wa Dhamana za Mikopo kwa Wajasiriamli katika Sekta ya Kilimo (SIDO SME – CGS);
7. Mfuko wa Udhamini wa Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere;
(b) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WATAASISI BINAFSI
1. Mfuko wa Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (Private Agricultural Sector Support Trust – PASS Trust);
2. Mfuko wa Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC);
3. Mfuko wa Asasi ya Kusaidia Wajasiliamali Wadogo na Wakati (African Guarantee Fund);
4. Mfuko wa Asasi ya Kusaidia na Kuboresha huduma ya afya kwa jamii (Medical Credit Fund);
5. African Trade Insurance;
MIFUKO INAYOTOA RUZUKU (a) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WA SERIKALI
1. Mfuko wa Nishati Vijijini (Rural Energy Fund – REF);
2. Bodi ya Mfuko wa Barabara;
3. Mfuko wa Kuchochea Kilimo Tanzania (TACT);
4. Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF);
5. Mfuko wa Elimu Tanzania (Tanzania Education Fund –TEF);
6. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tanzania Social Action Fund –TASAF);
7. Mfuko wa Kuongeza Ujuzi na Stadi za Kazi (SDF);
8. Mfuko wa Nishati Jadiifu (TANZANIA Energy Development and Access Project - TEDAP)
9. Mfuko wa Taifa wa Watu Wenye Ulemavu; 10.Mfuko wa Misitu Tanzania (Tanzania Forest Fund –TaFF);
11.Mfuko wa Fidia ya Ardhi Tanzania;
12.Mfuko wa Taifa wa Maji (National Water Fund - NWF);
13.Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Tanzania (TWPF);
14.Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki (Eastern Arc Mountains Conservation Endowment Fund-EAMCEF);
15.Mfuko wa Taifa wa Mambo ya Kale (The National Fund for Antiquities);
16.Tozo ya Maendeleo ya Utalii (Tourism Development Levy - TDL);
17.Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (Aids Trust Fund-ATF);
18.Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (Aids Trust Fund-ATF);
19.Mfuko wa Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika;
20.Mfuko wa Taifa wa Dhamana ya Hifadhi ya Mazingira;
21.Mfuko wa Kudhibiti Mabadiliko ya Bei za Mafuta (Fuel Price Stabilization Fund - FPSF);
22.Mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa;
23.Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Pamba (Cotton Development Trust Fund);
24.Mfuko wa Utafiti na Maendeleo wa COSTECH;
25.Mfuko wa Sukari;
26.Mfuko wa kuchochea Maendeleo ya Jimbo (CDCF);
27.Mfuko wa Uhamasishaji wa matumizi ya ethanol kama nishati mbadala ya kupikia
28.Mfuko wa Maendeleo ya Reli;
29.Mfuko wa Usambazi wa Maji kwa Umeme wa Jua;
30.Mfuko wa Taifa wa Umwagiliaji (Irrigation Development Fund-IDF);
31.Mfuko wa Maendeleo ya Michezo;
32.Mfuko wa Elimu na Mafunzo ya Bahari (METFUND);
33.Mfuko wa Mafunzo kwa Marubani na Wahandisi wa Ndege;
(b) MIFUKO KATIKA KUNDI HILI IKO CHINI YA UMILIKI WATAASISI BINAFSI
1. Women Trust Fund-Trust;
2. Social Action Trust Fund;
3. Mfuko wa Fursa Sawa kwa wote (Equal Oppotunities for All Trust Fund (EOTF);
PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
(a) PROGRAMU ZILIZOCHINI YA UMILIKI WA SERIKALI
1. Programu za Taifa za kukuza Ujuzi:
(i) Mpango wa Mafunzo kwa vitendo mahala pa kazi (Internship training);
(ii) Mpango wa kutambua na kurasimisha ujuzi wa vijana uliopatikana nje ya mfumo rasmi (Recognition of Prior Learning);
(iii) Mpango wa kuwawezesha vijana kushiriki katika kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba;
(iv)Mpango wa kuwapatia vijana mafunzo ya kilimo nchini Israeli.
2. Programu ya ajira kwa vijana kupitia sekta ya Kilimo (BBT Program);
3. Mpango wa Kuendeleza Viwanda Vidogo na vya Kati (SANVN Viwanda Scheme);
4. Mpango wa kuwezesha makundi maalum kupitia mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri;
5. Mpango wa Kuwawezesha Wavuvi na Wakuzaji Viumbe Maji;
6. Samia Scholarship;
7. Imarisha Uchumi na Mama Samia (IMASA);
(b) PROGRAMU ZILIZOCHINI YA UMILIKI WA TAASISI BINAFSI
1. Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (Financial Sector Deepening Trust- FSDT);
2. Kituo cha Ubunifu wa Kilimo Biashara (Agricultural Innovation Centre - AIC);
3. Mpango wa Kuendeleza Vijana na Wanawake