Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kujiunga
Mwombaji anatakiwa kupakua fomu ya maombi kutoka kwenye tovuti ya chuo www.nmtc.ac.tz. Fomu ya maombi pamoja na viambatanisho vyote vilivyoainishwa vitumwe kupitia barua pepe au sanduku la posta kama zinavyoonekana kwenye fomu ya maombi