Baruapepe
Wasiliana nasi
Mrejesho
Maswali
KISWAHILI
ENGLISH
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania
CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA
Menyu
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia na Majukumu
Dira, Dhima na Misingi Mikuu
Kaulimbiu yetu
Utawala
Muundo wa Taasisi
Vitengo
Tafiti na kozi za Muda mfupi
Habari na Mawasiliano
Uhasibu, ugavi na manunuzi
Kitengo cha Mitihani
Menejimenti
Bodi ya chuo
Ushauri wa kitaamu
Uanzishwaji wa TDCF
Utekelezwaji wa QMS
Uanzishwaji wa vituo vya Hali ya Hewa
Udahili
Fomu
Maelezo ya kujiunga na Chuo
Vigezo ya Kujiunga
Jinsi ya kujiunga
Kozi zitolewazo
Kozi za muda mrefu
Astashahada ya Awali
Astashahada ya Hali ya Hewa
Stashahada ya Hali ya Hewa
Kozi za muda mfupi
Kozi zitarajiwazo
Machapisho
Ripoti
Majarida ya Utafiti
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Hotuba
Chuo kinakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa kusoma Cheti na Diploma katika Taaluma ya Hali ya Hewa yaani: Cheti cha awali (NTA Level 4), Cheti (NTA Level 5), Diploma (NTA Level 6) na Cheti cha awali katika taaluma ya Tehama (NTA 4) kwa mwaka wa masomo 2024/2025. SIFA ZA KUJIUNGA (HALI YA HEWA) (a) CHETI CHA AWALI (Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Meteorology); Mwaka mmoja. Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (Form IV) na kufaulu walau masomo manne ikiwemo Fizikia na Hisabati na yasiusishe masomo ya dini. (b) CHETI (Technician Certificate (NTA Level 5) in Meteorology); Mwaka mmoja. Mwombaji awe na Cheti cha Awali cha Hali ya Hewa (Basic Technician Certificate (NTA level 4) in Meteorology) AU awe amemaliza kidato cha sita (Form VI PCM / PGM) na kufaulu masomo ya Fizikia na Hisabati katika kiwango cha ufaulu wa “Principal Pass” au zaidi kwa masomo yote mawili; au “Principal Pass” moja na “Subsidiary” moja miongoni mwa masomo hayo. (c) DIPLOMA (Ordinary Diploma (NTA Level 6) in Meteorology); Mwaka mmoja. Mwombaji awe na Cheti cha Hali ya Hewa (Technician Certificate (NTA level 5) in Meteorology) SIFA ZA KUJIUNGA (TEHAMA) CHETI CHA AWALI (Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Information Technology); Mwaka mmoja. Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (Form IV) na kufaulu walau masomo manne ikiwemo Kingereza na Hisabati na yasihusishe masomo ya dini. AU Mwombaji awe na Cheti cha ufundi ngazi ya 3 (level 3) katika fani inayohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano na awe amemaliza kidato cha nne (Form IV) na kufaulu walau masomo manne ikiwemo Hisabati na yasiusishe masomo ya dini. Waombaji wote wenye sifa wanaweza kutuma maombi yao kujaza fomu ya maombi. Kupata fomu ya maombi pakua hapa Barua au fomu zote za maombi zitumwe kwa: Mkuu wa Chuo, Chuo cha Taifa Hali ya Hewa, S. L. P 301, Kigoma. au kupitia barua pepe: nmtc@meteo.go.tz Kwa mawasiliano zaidipiga: +255 719716148 – Afisa Udahili Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14/07/2024 saa 9:30 alasiri. Masomo yanatarajia kuanza mwezi Oktoba 2024
WMO Training Course on Radar Meteorology at the National Meteorological Training Centre (NMTC) of Tanzania Meteorological Authority to be held in Mwanza, United Republic of Tanzania from 26 to 30 August 2024. For more information click here
Soma zaidi
Previous
Next
Chuo cha NMTC
Picha ya pamoja
Maonyesho
Habari
Tazama Zaidi
Tazama Zaidi
25 Jun 2024
MWISHO WA KIMBUNGA “IALY
Dar es Salaam, 22 Mei 2024 Saa 4 Usiku: Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa...
25 Jun 2024
KIPUPWE 2024: HALI YA BARIDI YA WASTANI HADI JOTO KIASI INAT...
25 Jun 2024
IPCC awareness, TMA Vision and Achievement shared during the...
KOZI NA PROGRAMU
Stashahada ya Hali ya Hewa
Stashahada ya Hali ya Hewa
ASTASHAHADA YA HALI YA HEWA
ASTASHAHADA YA AWALI YA HALI YA HEWA
ASTASHAHADA YA AWALI YA TEKNOLOJIA YA HABARI
Taarifa za wanafunzi
Mkahawa
Serikali ya Wanafunzi
Wahitimu wa Zamani
Huduma za Afya na Malazi
RATIBA YA MAFUNZO 2023/2024
ALMANAC 20234/2024
Video
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
24 Jun, 2024
Online Help
Kuanzisha Enzi Mpya katika Udhibiti wa Sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini Tanzania
Tofauti na kozi za muda mrefu ,je kuna kozi nyingine mnazotoa?
Je vigezo gani vya kujiunga na chuo?
Chuo cha hali ya hewa kinapatikana wapi?
Je naweza kutembelea Chuo cha Hali ya Hewa?
Je chuo kinatoa Huduma ya malazi?
send
youtube
instagram
facebook