ASTASHAHADA YA AWALI YA HALI YA HEWA
ASTASHAHADA YA AWALI YA HALI YA HEWA
![ASTASHAHADA YA AWALI YA HALI YA HEWA](http://demo81.eganet.go.tz/nmtc/uploads/services/a1e855577b8ae8b16b64ff72fecf3cee.jpeg)
Astashahada ya Awali ya Hali ya Hewa (NTA LEVEL 4) ambayo inatambulika na Shirika la Hali ya Hewa Duniani kama ‘WMO-Meteorological Technician Entry-Level’. programu hii ni ya Mwaka mmoja yenye mihula miwili ikihusisha Jumla ya moduli kumi na moja (11).
Muhitimu wa programu hii anaweza kufanya kazi ya uangazi wa hali ya hewa,