Mahakama Yatoa Uamuzi Shauri la Pori la Akiba la Pololeti final 04 Oktoba 2023
Mahakama Yatoa Uamuzi Shauri la Pori la Akiba la Pololeti final 04 Oktoba 2023
25 October, 2024
Pakua
Mnamo tarehe 19 Septemba, 2023; Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha mbele ya Mhe. Jaji J.C. Tiganga ilitoa uamuzi katika shauri Namba 21 la Mwaka 2022 baina Ndalamia Partareto Taiwap na Wenzake Wanne (4) dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii & Mwanasheria Mkuu wa Serikali.