Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Dkt. Julius C. Mashamba ndiye aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali wa kwanza.
Serikali kupitia Amri ya Kuundwa kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu (Kanuni za Uanzishaji), 2018 (Tangazo la Serikali Na. 50 la 2018) iliundisha upya Ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali mwaka 2018.
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapatika 10 Barabara ya Kivukoni, karibu na Wizara ya Ardhi.
1. Kuendesha na Kusimamia mashauri yote ya Madai, Haki za Binadamu,Kikatiba na Usuluhishi zinazoihusu Serikali;
2. Kutoa miongozo kwa Wanasheria na Mawakili wa Serikali ambao wanasimamia uendeshaji wa kesi za madai, kesi za haki za binadamu, na Kikatiba na mashauri ya usuluhishi yanayoihusu Serik...