Jaji Mkuu Kuongezewa Muda ni Sahihi Kikatiba
Jaji Mkuu Kuongezewa Muda ni Sahihi Kikatiba
25 October, 2024
Pakua
Tarehe 22 Septemba, 2023; Mahakama Kuu (Masijala Kuu) Dar es salaam ilitoa uamuzi katika shauri la Kikatiba Na. 07/2023 baina ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kutupilia mbali shauri hilo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.