Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Yatoa Ushirikiano Uendeshaji Mashauri Mbeya
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Yatoa Ushirikiano Uendeshaji Mashauri Mbeya
25 October, 2024
Pakua
“Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mkoa wa Mbeya inatupa ushirikiano wa kutosha katika uendeshaji wa mashauri ya Serikali Mbeya kwa kuwa Mkoa huu una mashauri mengi ukilinganisha na mikoa mingine ambapo baadhi ya mashauri yana maslahi mapana kwa taifa hivyo Mahakama kwa kushirikiana na Ofisi hii tunapenda kuendesha mashauri na kuyamaliza kwa wakati,” amesema Mhe. Jaji Mfawidhi Tiganga.