Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Hotuba ya mwenyekiti baraza la wafanyakazi wa OWMS Dodoma 10 Oktoba 2024

24 October, 2024 Pakua

Hotuba ya Dkt. Ally Possi – mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi la OWMS katika ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa baraza la pili la wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 iliyotolewa tarehe 10 oktoba, 2024 katika ukumbi wa takwimu, mkoani Dodoma.