Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Hotuba ya Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla ya kufunga mwaka 2023

03 April, 2024 Pakua

Hotuba ya kufunga mwaka 2023 iliyotolewa na Dkt. Boniphace Nalija Luhende, Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi ya kufunga mwaka iliyofanyika katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dar es salaam tarehe 29 disemba, 2023