Asilimia themanini (80%) ya biashara duniani inafanyika kupitia bahari
Asilimia themanini (80%) ya biashara duniani inafanyika kupitia bahari
Posted On: 24 August, 2024
"Miundombinu ya usafiri iwe ya barabara au reli sisi tunapata faida zaidi kwa sababu ya bandari na tunapakana na nchi nyingi ambazo hazina bandari na usafiri mkubwa wa biashara kwa dunia kwa sasa ni usafiri wa maji wanasema zaidi ya 80% ya biashara duniani inafanyika kupitia bahari. Hii kwetu ni faida kubwa sana" - Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) Bw. David Kafulila