Uzinduzi wa Maabara Changamano awamu ya pili

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania inatarajia kuzindua maabara changamana awamu ya pili. Uzinduzi utafanyika Njiro Arusha tarehe 25 Januari 2025, kuanzia saa 3:00 asubuhi. Mgeni rasmi atakuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassani. Wananchi wote mnakaribishwa