Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania

"Mionzi kwa Matumizi Salama na Teknolojia ya Nyuklia kwa Maendeleo ya Taifa"
Nyumbani / Kurasa / Kanusho

Kanusho

Kanusho

Published on January 20, 2025

Tume haitahusika na kuhakikisha ubora wa huduma kwa nyenzo ambazo ziko nje ya udhibiti wake wala haitahusika na kuhakikisha huduma ulizolipia kuwa zitakuwa kamilifu/zinafanyakazi na kupatikana 100% ya muda wake na haiwajibiki kwa hasara yoyote itokeapo mfumo utashindwa kutoa huduma.