Sh169 bilioni kuongeza vituo vya saratani kwa teknolojia ya nyuklia
Published on January 20, 2025

Muktasari:
- Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mpango wa Serikali wa kuongeza vituo vya uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia.