Baadhi ya mafanikio ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia ndani ya nchi
Published on November 19, 2020
Kwa miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za atomiki Dunia (IAEA) imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya sayansi na tekinolojia ya nyuklia na kuleta mafanikio mbalimbali ndani ya nchi ikiwemo, afya, kilimo, mifugo n.k. Soma zaidi