TANZANIA YAPANGA KUTUMIA NGUVU YA ATOM KWENYE CHAKULA
Published on January 20, 2025

TANZANIA YAPANGA KUTUMIA NGUVU YA ATOM KWENYE CHAKULA "Tunahitaji wataalamu zaidi ambao wataweza kutumika katika nyanja mbalimbali na maeneo mbalimbali ili tuweze kupata faida kubwa ambayo inaweza kupatikana kutokana na matumizi ya teknolojia ya nguvu ya Atom"