| Na | Kozi | Ada ( Tzs) |
| 1 | Shahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa. | 1,455,000/= |
| 2 | Shahada ya Uhazili na Utawala. | 1,455,000/= |
| 3 | Diploma ya Usimamizi wa Rasilimali Watu. | 1,095,000/= |
| 4 | Diploma ya Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi. | 1,095,000/= |
| 5 | Diploma ya Uhazili | 1,095,000/= |
| 6 | Diploma ya Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa. | 1,095,000/= |
| 7 | Diploma ya katika Utawala wa Umma | 1,095,000/= |
| 8 | Astashahada/Cheti cha Awali katika Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu. | 895,000/= |
| 9 | Astashahada/Cheti cha Awali katika Uhazili | 895,000/= |
| 10 | Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi | 895,000/= |
| 11 | Astashahada/Cheti cha Awali katika Utawala wa Umma | 895,000/= |
| 12 | Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi wa Rasilimali Watu. | 895,000/= |

