Kaimu Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu, Dkt. Ernest Mabonesho amewaongoza watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tabora (Kitete) kama sehemu ya kutoa kwa jamii. Katika kufanya usafi, Mkuu wa Chuo aliwaongoza Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi lenye wajumbe kutoka kampasi siita za Chuo cha utumishi wa umma na watumishi wa kampasi ya Tabora.
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo