Prof. Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mapema hii leo amefanya mahojiano maalum na azam tv kuhusu kambi ya madaktari bingwa itakayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumbua kuanzia Agosti 5, 2024 hadi Agosti 9, 2024.