Super Specialized Services
- Huduma za Maabara Maalum ya Moyo
- Huduma za Uchujaji wa Damu na Upandikizaji wa Figo
- Huduma za Upasuaji Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu
- Huduma za Upasuaji wa matundu madogo
- Endokrinolojia
- Kitengo cha Huduma ya Uangalizi wa Watoto Wachanga (NICU)
Specialized Services
- Huduma za Onkolojia and Tiba ya Mionzi
- Huduma za Matibabu ya Pua,Koo na Masikio
- Huduma za Magonjwa ya Ndani
- Huduma za Magonjwa ya Damu na Tiba ya Uongezaji Damu
- Huduma ya Tiba za Macho
- Huduma za Watoto na Afya ya Mtoto
Ongoing projects
Angalia VyoteTHE HOSPITAL WELCOME NOTE Tangu kuanzishwa kwake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 13 Oktoba 2015, Hospitali ya Benjamin Mkapa imekuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma za kisasa za afya. BMH ni taasisi ya umma ya ngazi ya juu, ya rufaa na ya mafunzo ya chuo kikuu, yenye lengo la kushughulikia mahitaji ya huduma za afya za juu na za kitaalamu nchini Tanzania na barani Afrika. Huduma hizi hutolewa kwa kutumia vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa hali ya juu, wataalamu waliobobea, na matibabu ya kisasa.Hospitali hii iko Dodoma, mji mkuu wa Tanzania, na ndiyo hospitali kuu ya serikali inayohudumia wakazi wapatao milioni 14. BMH iko chini ya Wizara ya Afya na inashirikiana kwa karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma. Pia ina ushirikiano mpana na taasisi mbalimbali barani Afrika, Ulaya, Mashariki ya Kati, Asia na Amerika.Tunatoa huduma bora za afya za kitaalamu na za juu kabisa ambazo awali hazikuwepo nchini, kwa kutumia sayansi ya kisasa. BMH inamiliki vifaa vya ki ...

Royal, International and Master Health Check Up Clinic

Huduma za Wateja Maalum
Huduma zetu za Wateja Maalum zinawahudumia watu mashuhuri wa hadhi ya juu na wagonjwa binafsi wanaopatiwa huduma katika ...

Kliniki ya Wagonjwa wa Kimataifa.
Kliniki ya Wagonjwa wa Kimataifa (IPC) inatoa huduma za matibabu na msaada kwa watu wanaosafiri kutoka nje ya nchi kuja ...

Uchunguzi wa Kina wa Afya
Tunatoa uchunguzi wa kina wa kiafya unaolenga kutathmini afya ya jumla ya mtu na kubaini matatizo au hatari za kiafya ma ...

Tiba Utalii
UTALII WA MATIBABU NA HUDUMA MKOBA Hospitali ya Benjamin Mkapa kama Hospitali ya Kibingwa na Bingwa Maalum ina ju ...
Centers of Excellence
Huduma ya Upandikizaji wa Figo
Upandikizaji wa Figo Upandikizaji wa figo ni njia bora na inayopendekezwa zaidi ya tiba mbadala ya figo kwa wagonjwa wa ...
Soma ZaidiHuduma ya Tiba ya Mfumo wa Mkojo na Uzazi wa Kiume
Idara ya Urolojia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) iliyopo Dodoma, Tanzania, imejikita katika kutoa huduma bora ...
Soma ZaidiHuduma za Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu
Idara ya Magonjwa ya Moyo na Upasuaji wa Moyo na Kifua katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kukua kwa hat ...
Soma ZaidiHuduma ya Upandikizaji Uroto
Idara ya Hematologia – Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Kinara wa Huduma za Magonjwa ya Damu Afrika Mashariki na ...
Soma Zaidi