Kliniki ya Wagonjwa wa Kimataifa.

Kliniki ya Wagonjwa wa Kimataifa (IPC) inatoa huduma za matibabu na msaada kwa watu wanaosafiri kutoka nje ya nchi kuja kupokea huduma za afya. Tunatoa huduma maalumu, msaada wa lugha na ushauri wa mipango ya kifedha ili kurahisisha mchakato kwa wagonjwa wa kimataifa. Wasiliana nasi kupitia +255 767 652 201.
Faida za Ziada
-
Huduma za ubingwa wa hali ya juu na mashauriano ya kitaalamu mbalimbali
-
Upasuaji siku hiyo hiyo
-
Huduma za uchunguzi wa haraka (Maabara na X-ray, Ultrasound, CT scan na MRI)
-
Ushauri wa daktari ndani ya dakika 10 baada ya kuwasili
-
Huduma za duka la dawa saa 24
-
Huduma za gari la wagonjwa saa 24
-
Chumba cha mapumziko cha viongozi (Executive Lounge)
-
Uongozaji kuanzia lango la kuingilia
-
Vinywaji (Maji safi, Kahawa, Chai na Juisi)
-
Malazi nafuu kwa wagonjwa wa kimataifa
-
Muda mfupi wa kupata majibu (TAT)
-
Wi-Fi ya bure
Mtiririko wa Mgonjwa wa Kimataifa