Imewekwa: 01 Jul, 2024

Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania anawaalika:
1.    Waombaji wenye sifa za kusoma kozi za Cheti na Diploma zinazotolewa na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania KUTUMA MAOMBI; na 
2.    Wahitimu wa Kitato cha NNE wa Mwaka 2023 waliopangiwa kujiunga na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania KUTHIBITISHA nia yao ya kujiunga na Chuo.

Tafadhali fuata maelekezo yafuatayo: 
KWA WAOMBAJI WAPYA:

Endapo una nia ya kuomba nafasi ya kusoma kozi ngazi ya Cheti na Diploma, bonyeza "link hapa chini": 

BONTEZA HAPA KUFANYA MAOMBI

KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WALIOPANGIWA NA TAMISEMI KUJIUNGA BA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA:

Bonyeza "link hapa chini" KUTHIBITISHA pamoja na kupata maelekezo muhimu ya kujiunga na chuo.

BONYEZA HAPA KUTHIBITISHA
 

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo