Mafunzo ya Muda namna bora ya kutoa dawa za usingizi

Published: Sep 23, 2024

Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma inatoa taarifa kwa wauguzi nchini kuwa itatoa mafunzo maalumu ya namna bora ya kutoa dawa za usingizi, Mafunzo yanaanza September 19-23.